BBC News, Swahili - Habari
Habari Kuu
Heche Mahakamani: 'Lissu ni mzalendo na mpiganaji wa kweli'
Kesi ya uhaini inayomkabili Mwenyekiti wa Chadema, Tundu Lissu, inaendelea katika Mahakama Kuu ya Tanzania, Dar es Salaam.
Warundi 600 wazuiliwa mpakani Kenya na Tanzania
Serikali ya Kenya imewapa raia wa kigeni siku 90 kukamilisha taratibu zinazohitajika ili kuishi, kufanya kazi na biashara nchini humo.
Lini Afrika itapata Ballon d'Or tena?
Nahodha wa Morocco, Achraf Hakimi, na mshambuliaji wa Senegal, Sadio Mane, ndio wachezaji wawili pekee kutoka Afrika walio kwenye orodha ya wachezaji 30 wanaowania tuzo hiyo mwaka 2026.
WARIDI WA BBC: 'Miaka 7 bado ninasubiri mwanangu kuniita mama'
Rehema ambaye kupitia nyimbo kama Chanzo, Ndiyo yako na Nina ushuhuda alijizolea umaarufu katika anga la muziki wa injili Afrika mashariki tangu mwanzoni mwa mwaka 2020 anasema wakati wote huo alikuwa akipambana na huzuni na uchungu uliotokana na kutokubali hali ya mwanae wa kwanza.
Nani anapigiwa chapuo kutwaa taji la Ligi ya Mabingwa msimu huu?
Ligi ya Mabingwa Ulaya imeanza tena usiku wa kuamkia Jumatano, Septemba 9, huku baadhi ya timu kubwa zikianza kampeni zao kwa ushindi.
Nchi hizi 9 zilipataje silaha za nyuklia?
Marekani ilikuwa nchi ya kwanza duniani kutengeneza silaha za nyuklia kupitia mpango wa siri wa Manhattan Project wakati wa Vita vya Pili vya Dunia.
Eda ni nini? Je, Rais Samia kuendelea kuongoza akiwa eda?
Swali hilo linapata uzito zaidi linapomhusu mwanamke mwenye wadhifa mkubwa wa umma, kama Rais wa nchi ambaye ni Mwislam. Je, Eda ni nini? Je, rais Samia kuendelea kuongoza akiwa eda?
Tetesi za Soka Ulaya Jumatano: Liverpool yamfuatilia Thiaw
Liverpool yamfuatilia Thiaw, Fulham yamtaka Bassey abaki, James Rodriguez kwenye mazungumzo ya Serie B.
Raia wa kigeni nchini Kenya wana siku 90 kuwa na vibali vya kazi
Kenya imewapa raia wa kigeni wanaoendesha biashara ndogo ndogo siku 90 za kuratibu hadhi yao ya uhamiaji, vibali vya kazi na leseni za biashara.
Kwa nini nchi za Ulaya zinahamisha dhahabu yao kutoka Amerika Kaskazini?
Takribani tani 86 kati ya karibu tani 313 za dhahabu zilizokuwa zimehifadhiwa nchini Marekani na Canada zilihamishwa kwenda London, "kutokana na kuongezeka kwa hali ya kutokuwa na utulivu wa kisiasa duniani".
Uvumbuzi mahiri ambao unakaribia kubadilisha kabisa ulimwengu wetu
Jinsi uvumbuzi wa kiubunifu unavyokaribia kubadilisha ulimwengu wetu milele.
Unataka kupunguza gharama za data?
Soma mtandao wetu wa maandishi kwa gharama ndogo za data.
Gumzo mitandaoni
'Wizi wa nyeti': Jinsi mitandao ya kijamii ilivyochochea uvumi uliogeuka mauaji
Zaidi ya watu 80 wamepoteza maisha kutokana na mashambulizi ya umati, uchunguzi wa BBC umebaini baada ya kukusanya takwimu kutoka mataifa sita barani Afrika.
Nchimbi kufuata nyayo za Maalim Seif au kina Lowassa?
Katika historia ya siasa za Tanzania, wanasiasa waliowahi kuwa na nafasi kubwa ndani ya CCM lakini wakaondoka au kuondolewa wamewahi kuchukua njia tofauti kuhusu siasa na mustakabali wao kwenye nafasi za kisiasa. Nchimbi atachagua njia ipi?
Ndejembi kumrithi Nchimbi, ni mwanasiasa wa aina gani?
Iwapo atathibitishwa kwa mujibu wa taratibu za kikatiba, Ndejembi mwenye umri wa miaka 43 atachukua nafasi iliyoachwa na Nchimbi, ambaye alijiuzulu baada ya kuitumikia kwa takriban miezi 10.
Vigogo watano wa CCM waliioondoka katika nyadhifa zao chini ya Rais Samia
Tangu rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Samia Suluhu Hassan kuingia madarakani, kuna wanasiasa kadhaa cha Chama cha Mapinduzi (CCM), ambao wameondoka kwa hiari au kwa shinikizo katika nafasi zao.
Tundu Lissu: Kuwa na kesi ya kujibu maana yake nini?
Mahakama Kuu ya Tanzania imetoa uamuzi kuhusu Mwenyekiti wa chama kikuu cha upinzani nchini humo, Tundu Lissu, kwamba ana kesi ya kujibu katika shtaka la uhaini linalomkabili. Hatua hii ina maanisha nini?
'Ninafanya kazi ya kuwabebea wengine ujauzito'
Lorna Fidelia hufanya kazi ya kuwabebea wengine uja uzito. Amewahi kubeba mimba ya pacha watatu miaka michache iliyopita na sasa anatafuta kubeba mtoto mwingine.
Je, Iran itaishambulia Ulaya?
Iran inaweza kushambulia vituo vya kijeshi vya Marekani barani Ulaya iwapo Donald Trump ataishambulia Iran tena, gazeti la Financial Times linaripoti.
Nani anafadhili magenge ya wahuni kuchochea ghasia za kisiasa Kenya?
Polisi nchini Kenya wamewakamata watu 37 wanaoshukiwa kuhusika na ghasia za kisiasa, baada ya kukutwa na silaha mbalimbali katika kaunti za Kisumu na Homa Bay. Ni nani yuko nyuma ya makundi haya ya vijana?
Je, Tanzania inaweza kufikia maridhiano ya kisiasa bila CHADEMA na Lissu?
Historia ya Tanzania inaonesha baadhi ya hatua kubwa za maridhiano ya kisiasa zilihitaji serikali na vyama vikuu vya upinzani kukaa meza moja.
Jinsi ubongo wa nzi unavyoweza kuelezea tabia ya binadamu
Watafiti walichora miunganisho milioni 124 kati ya seli zote za neva katika ubongo wa nzi dume.
Hatari 5 zinazoitishia dunia 2026
Licha ya Afrika kuchangia kwa kiwango kidogo katika mabadiliko ya tabianchi, bado ni miongoni mwa maeneo ambayo hayajajitayarisha vya kutosha kukabiliana na madhara yake ya moja kwa moja.
Viumbe 10 hatari zaidi duniani
Ingawa viumbe wengi wanajulikana kwa kuwatisha watu, ni mmoja tu anayeshikilia nafasi ya kuwa hatari zaidi. Hasa zaidi, kiumbe huyu ndiye anayesababisha vifo vya watu wengi zaidi.
BBC News Swahili sasa ipo WhatsApp
Vipindi vya Redio
Listen Next, Amka Na BBC, 05:59, 10 Septemba 2026, Muda 29,30
Kipindi cha habari, mahojiano na makala kila siku saa kumi na mbili na saa moja asubuhi Afrika Mashariki
Sikiliza, Dira Ya Dunia, 18:29, 9 Septemba 2026, Muda 1,00,00
Kipindi cha habari, makala na mahojiano cha kila siku kuanzia saa kumi na mbili unusu jioni Afrika Mashariki
Sikiliza, Amka Na BBC, 06:59, 9 Septemba 2026, Muda 29,30
Kipindi cha habari, mahojiano na makala kila siku saa kumi na mbili na saa moja asubuhi Afrika Mashariki
Sikiliza, Amka Na BBC, 05:59, 9 Septemba 2026, Muda 29,30
Kipindi cha habari, mahojiano na makala kila siku saa kumi na mbili na saa moja asubuhi Afrika Mashariki
Dira ya Dunia TV
Kipindi cha habari motomoto, kinachowaweka watazamaji karibu zaidi na yanayojiri duniani























































