Hii ni tovuti ya maandishi pekee ambayo inatumia data kidogo. Tazama toleo kuu la tovuti likijumuisha picha na video zote.
Pata maelezo zaidi kuhusu toleo hili la linalotumia kiasi kidogo cha data
BBC News, Swahili - Habari
Habari Kuu
Tanzania kupata ufadhili - Shirika la Fedha Duniani
IMF imesema inatarajia uchumi wa Tanzania kukua kwa asilimia 5.9 mwaka huu
Ufaransa inataka nini kipya Afrika?
Tangu miaka ya 1960, Ufaransa imedumisha uhusiano wa kiuchumi, kisiasa na kiusalama na koloni zake nyingi za zamani, na kusababisha tuhuma za kuendelea kuwa na ushawishi wa kikoloni katika nchi hizo.
Kutoka Natanz hadi mlango-bahari wa Hormuz; Nini kinachofanya Iran na Marekani kutofautiana?
Zaidi ya wiki kumi baada ya kuanza kwa mashambulizi ya Marekani na Israel dhidi ya Iran, na wakati usitishaji wa mapigano ukiwa tete, pande hizo mbili bado zinajadiliana kupitia wapatanishi kama vile Pakistan.
Jinsi mkutano wa kilele wa Trump-Xi unavyoweza kuimarisha uhusiano kwa miaka mingi ijayo
Ziara ya Trump nchini China ni muhimu zaidi kwa miaka mingi - lakini itazaa matunda?
Waridi wa BBC: Mariam na safari ya kufua kusaka $15,000 za kupandikizwa figo
Mariam anasema kwamba mama yake yuko tayari wakati wowote kujitolea figo ili kuokoa maisha yake,lakini hadi sasa hajafanikiwa kupata kiasi cha pesa kinachotakiwa ili kufanikisha upandikizaji huo.
Kombe la Dunia 2026: Kibarua kinachoikabili FIFA na Marekani kuhakikisaha ushiriki wa Iran
Waziri wa Mambo ya Nje wa Marekani Marco Rubio tayari amesema wachezaji wa soka wa Iran wanakaribishwa katika mashindano hayo, japo ameonya kuwa watu binafsi walio na uhusiano na IRGC huenda wakakabiliwa na vikwazo vya kuingia nchini Marekani.
Je, tunapaswa kuwa na wasiwasi kiasi gani kuhusu hantavirus?
Abiria kutoka kwa meli ya watalii iliyokumbwa na mlipuko wa virusi vya hantavirus wamehamishwa na kupelekwa katika nchi zao kujitenga na kupokea matibabu ikiwa ni lazima.
Ruto asema ‘hatutamlazimisha Aliko Dangote eneo la kuwekeza’
Kulingana na Ruto, Tanga ilionekana kuwa chaguo linalofaa zaidi kwa sababu mradi wa bomba la mafuta ghafi la eneo hilo hapo awali ulipangwa kuwa huko.
Rais wa Uganda aapishwa kwa muhula wa saba mfululizo
Ulinzi mkali, ikiwa ni pamoja na vifaru vya kivita, uliwekwa katika mji mkuu, Kampala,.
Netflix yashitakiwa kwa kuwachunguza watumiaji wake, wakiwemo watoto
Kampuni hiyo inatuhumiwa kukusanya na kutumia data za watumiaji wake, ikiwemo watoto bila ridhaa yao ya wazi, na baadaye kutumia taarifa hizo kwa malengo ya kibiashara na uboreshaji wa huduma zake.
Siri ya sayari isiyoonekana
"Ikiwa Sayari ya Tisa haipo, hatutakuwa na maelezo ya matukio mengi ya kushangaza," Profesa Brown aiambia BBC.
Unataka kupunguza gharama za data?
Soma mtandao wetu wa maandishi kwa gharama ndogo za data.
Gumzo mitandaoni
Iran na Marekani kwenye vita yenye washindi wawili
Ikiwa Tehran itaendelea kudumisha ushawishi wake wa kikanda na kuzuia kusitishwa kabisa kwa mpango wake wa nyuklia, Iran itajiona kuwa mshindi.
Je, kiwanda cha kusafisha mafuta Tanga ni ndoto inayowezekana?
Pendekezo la ujenzi wa kiwanda kikubwa cha kusafisha mafuta huko Tanga, Tanzania limeibua mjadala mpana wa kisiasa na kiuchumi Afrika Mashariki, likifufua upya hoja ya utegemezi wa mafuta kutoka nje.
Zijue nchi 7 ndogo zaidi duniani
Hapa ni orodha ya nchi 7 ndogo duniani ambazo nchi hizi kwa moja moja unaweza kuitembelea karibu yote ndani ya siku moja ama kwa saa chache.
Mwanaume aliyetangazwa kufa na kuzikwa arudi nyumbani baada ya siku moja
Mwili ulipelekwa kwenye chumba cha kuhifadhia maiti cha Hospitali ya Masindi, ambapo matangazo yalitolewa kwa watu wenye watu waliopotea ili kusaidia katika utambuzi.
Baada ya ripoti ya Jaji Chande njia tatu zitakazoamua mustakabali wa Tanzania
Tanzania ina njia tatu za kuchagua kuhusu mustakabali wake, kufuatia ripoti ya Jaji Chande. BBC imezichambua njia hizo na kile kinachofuata Tanzania baada ya ripoti hiyo ya matukio ya Oktoba 29, 2025
Nani hufanya maamuzi nchini Iran?
Donald Trump ameutaja uongozi wa Iran kuwa "umegawanyika" na kusema Marekani inasubiri Tehran kuwasilisha "pendekezo la umoja".
Kwanini Afrika inataka ramani mpya ya dunia?
Togo inapania kuwahimiza mataifa wanachama wa Umoja wa Mataifa, kuja na ramani ambayo inaelezea ukubwa halisi wa bara Afrika na kutupilia mbali ramani ya Mercator.
Maswali muhimu kuhusu ripoti ya Oktoba 29 yanayohitaji majibu
Maswali kadhaa muhimu yanaendelea kujitokeza miongoni mwa wananchi na wadau nchini Tanzania yakilenga si tu kuelewa yanayozunguka kilichotokea Oktoba 29, bali pia kilichoripotiwa na tume na mustakabali wa kesho
Mambo matano makubwa katika ripoti ya matukio ya Oktoba 29 Tanzania
Ni ripoti iliyokusanywa kwa miezi kadhaa chini ya Mwenyekiti Jaji Mohamed Chande, ambayo imewahoji maelfu ya watanzania, imetumia picha na video za wakati wa Oktoba 9 na siku zilizofua.
Ripoti ya matukio ya Oktoba 29: Tanzania imefikaje hapa?
Katika kipindi cha siku 153 za uchunguzi, Tume ya Uchunguzi wa Matukio ya Oktoba 29, 2025 imetembelea mikoa 11 na wilaya 21, ikikusanya ushahidi kutoka kwa Watanzania 63,603 kupitia njia mbalimbali, huku swali kuu likibaki iwapo ushahidi huo utaweza kuunganisha taifa au kufungua mjadala mpya wa kisiasa?
Iran haina namna zaidi ya kurejea katika meza ya mazungumzo
Naibu rais wa Marekani JD Vance anayetarajiwa kuongoza mazungumzo hayo nchini Pakistan, bado hajaondoka nchini Marekani na safari yake imehairishwa.
Slowjamastan: Taifa jipya nchini Marekani
Ingawa Sultan anasema wageni wanakaribishwa katika eneo la jangwa la Slowjamastan, kwa sasa hakuna sehemu ya kulala kwa wageni wanaotaka kukaa usiku.
BBC News Swahili sasa ipo WhatsApp
Vipindi vya Redio
Listen Next, Amka Na BBC, 05:59, 14 Mei 2026, Muda 29,30
Kipindi cha habari, mahojiano na makala kila siku saa kumi na mbili na saa moja asubuhi Afrika Mashariki
Sikiliza, Dira Ya Dunia, 18:29, 13 Mei 2026, Muda 1,00,00
Kipindi cha habari, makala na mahojiano cha kila siku kuanzia saa kumi na mbili unusu jioni Afrika Mashariki
Sikiliza, Amka Na BBC, 06:59, 13 Mei 2026, Muda 29,30
Kipindi cha habari, mahojiano na makala kila siku saa kumi na mbili na saa moja asubuhi Afrika Mashariki
Sikiliza, Amka Na BBC, 05:59, 13 Mei 2026, Muda 29,30
Kipindi cha habari, mahojiano na makala kila siku saa kumi na mbili na saa moja asubuhi Afrika Mashariki
Dira ya Dunia TV
Kipindi cha habari motomoto, kinachowaweka watazamaji karibu zaidi na yanayojiri duniani