BBC News, Swahili - Habari
Habari Kuu
Moja kwa moja, Marekani yamuwekea vikwazo Kabila kwa tuhuma za kuunga mkono makundi ya waasi DR Congo
Washington inadai Kabila alitoa msaada wa kifedha kwa AFC, kuhamasisha wanajeshi kuasi kutoka jeshi la Congo, na kupanga mashambulizi dhidi ya vikosi vya serikali.
Ubalozi wa Iran watumia vipi mtandao wa X kama silaha wakati wa vita?
Badala ya kutumia lugha ya kawaida ya kidiplomasia, akaunti za mitandaoni za Iran zilichukua mkondo usio wa kawaida kwa kutumia vichekesho, kejeli na majibu yaliyoratibiwa kwa lengo la kuunda simulizi, kupinga ukosoaji na kuwajibu maafisa wa Marekani.
'Viongozi wawili wenye kiburi waibua mtafaruku Hormuz, nini kitatokea?" – Uchambuzi
Kushughulika na Trump ni mojawapo ya changamoto tata zaidi katika diplomasia ya kisasa, kwani viongozi hulazimika kuchagua kati ya kumkabili moja kwa moja au kumsifu ili kuepuka athari kali - Uchambuzi.
China yafuta ushuru kwa mataifa yote ya Afrika isipokuwa taifa hili
Kufikia Desemba 2024, China ilikuwa tayari imetekeleza sera ya kutotozwa ushuru kwa mataifa 33 ya Afrika yenye maendeleo ya kiwango cha chini.
"Kujiua kwa hofu ya kubakwa": Tahadhari za kimataifa kuhusu madhara ya ukatili wa kingono nchini Sudan
Tangu Aprili 2023, Sudan imekuwa ikikumbwa na vita kati ya jeshi la serikali na kikosi cha Rapid Support Forces, ambavyo vimesababisha vifo vya makumi ya maelfu ya watu na kuwahamisha takriban watu milioni 11.
Mei Mosi: Siku ya wafanyakazi Duniani ilianza vipi?
Wafanyakazi wengi waligoma mnamo Mei 1, mwaka 1886, wakipinga siku ya kazi ya saa nane
'Tutalinda uwezo wetu wa makombora na nyuklia' - Mojtaba Khamenei
Mojtaba Khamenei, amesema kuwa Jamhuri ya Kiislamu italinda “uwezo wake wa nyuklia na makombora” kama rasilimali ya taifa.
Tetesi za soka Ulaya: Delap arejea kwenye rada ya Everton huku Salah akimezewa mate Uturuki
Everton yafufua nia ya Delap, yawania mastaa watatu wa England, Salah aifikiria Fenerbahce huku Chelsea ikitarajia kuvuna kupitia Jackson.
Tiba ya kutema maji "ya baraka": Uhaba wa huduma za afya unavyowasukuma Waafghanistan kwa waganga
Waafghanistan wanakabiliwa na uhaba mkubwa wa vituo vya matibabu na mipaka iliyofungwa, wakati huo huo viwango vya saratani vikiwa juu sana.
Zijue faida nne za kiafya za kutoka nje wakati wa mvua
"Kadri mvua inavyokuwa kubwa, ndivyo uwezo wake wa kuleta faida mwilini unaongezeka ," anasema Profesa wa Sayansi ya Dunia, Dan Cziczo.
'Ni Trump pekee, sio Congress, anayeweza kumaliza vita vya Iran' - Wall Street Journal
Katika mapitio ya magazeti ya leo, tunachunguza kwa nini ni rais wa Marekani pekee ndiye anayeweza kumaliza vita vya sasa Iran
Sikiza / Tazama
Unataka kupunguza gharama za data?
Soma mtandao wetu wa maandishi kwa gharama ndogo za data.
Gumzo mitandaoni
Mwanaume aliyetangazwa kufa na kuzikwa arudi nyumbani baada ya siku moja
Mwili ulipelekwa kwenye chumba cha kuhifadhia maiti cha Hospitali ya Masindi, ambapo matangazo yalitolewa kwa watu wenye watu waliopotea ili kusaidia katika utambuzi.
Baada ya ripoti ya Jaji Chande njia tatu zitakazoamua mustakabali wa Tanzania
Tanzania ina njia tatu za kuchagua kuhusu mustakabali wake, kufuatia ripoti ya Jaji Chande. BBC imezichambua njia hizo na kile kinachofuata Tanzania baada ya ripoti hiyo ya matukio ya Oktoba 29, 2025
Glasi moja ya bia inaweza kuimarisha afya ya ubongo na kuongeza vitamini mwilini - utafiti
Kulingana na utafiti, lita moja ya bia inaweza kuwa na kati ya miligramu 0.3 hadi 1 ya vitamini B6.
Nani hufanya maamuzi nchini Iran?
Donald Trump ameutaja uongozi wa Iran kuwa "umegawanyika" na kusema Marekani inasubiri Tehran kuwasilisha "pendekezo la umoja".
Ukimya wa Al Qaeda juu ya vita vya Iran, Marekani na Israel una maana gani?
Baada ya mashambulizi ya 9/11, viongozi wengi muhimu wa Al-Qaeda na familia zao walikimbia Afghanistan na Pakistan na kwenda Iran.
Kwanini Afrika inataka ramani mpya ya dunia?
Togo inapania kuwahimiza mataifa wanachama wa Umoja wa Mataifa, kuja na ramani ambayo inaelezea ukubwa halisi wa bara Afrika na kutupilia mbali ramani ya Mercator.
Tume ya uchunguzi yasema watu 518 walifariki dunia wakati wa ghasia za uchaguzi Tanzania
Tume imesema idadi hyo inaweza kuwa kubwa zaidi kwani Tume inasema kuwa kuna uwezekano kuwa baadhi ya familia zimezika wapendwa wao bila kuwafikisha katika vituo vya kutolea huduma ya afya au hawakupata fursa ya kuja mbele ya tume.
Maswali muhimu kuhusu ripoti ya Oktoba 29 yanayohitaji majibu
Maswali kadhaa muhimu yanaendelea kujitokeza miongoni mwa wananchi na wadau nchini Tanzania yakilenga si tu kuelewa yanayozunguka kilichotokea Oktoba 29, bali pia kilichoripotiwa na tume na mustakabali wa kesho
Mambo matano makubwa katika ripoti ya matukio ya Oktoba 29 Tanzania
Ni ripoti iliyokusanywa kwa miezi kadhaa chini ya Mwenyekiti Jaji Mohamed Chande, ambayo imewahoji maelfu ya watanzania, imetumia picha na video za wakati wa Oktoba 9 na siku zilizofua.
Ripoti ya matukio ya Oktoba 29: Tanzania imefikaje hapa?
Katika kipindi cha siku 153 za uchunguzi, Tume ya Uchunguzi wa Matukio ya Oktoba 29, 2025 imetembelea mikoa 11 na wilaya 21, ikikusanya ushahidi kutoka kwa Watanzania 63,603 kupitia njia mbalimbali, huku swali kuu likibaki iwapo ushahidi huo utaweza kuunganisha taifa au kufungua mjadala mpya wa kisiasa?
Iran haina namna zaidi ya kurejea katika meza ya mazungumzo
Naibu rais wa Marekani JD Vance anayetarajiwa kuongoza mazungumzo hayo nchini Pakistan, bado hajaondoka nchini Marekani na safari yake imehairishwa.
BBC News Swahili sasa ipo WhatsApp
Afya yako
Vipindi vya Redio
Listen Next, Dira Ya Dunia, 18:29, 1 Mei 2026, Muda 1,00,00
Kipindi cha habari, makala na mahojiano cha kila siku kuanzia saa kumi na mbili unusu jioni Afrika Mashariki
Sikiliza, Amka Na BBC, 06:59, 1 Mei 2026, Muda 29,30
Kipindi cha habari, mahojiano na makala kila siku saa kumi na mbili na saa moja asubuhi Afrika Mashariki
Sikiliza, Amka Na BBC, 05:59, 1 Mei 2026, Muda 29,30
Kipindi cha habari, mahojiano na makala kila siku saa kumi na mbili na saa moja asubuhi Afrika Mashariki
Sikiliza, Dira Ya Dunia, 18:29, 30 Aprili 2026, Muda 1,00,00
Kipindi cha habari, makala na mahojiano cha kila siku kuanzia saa kumi na mbili unusu jioni Afrika Mashariki
Dira ya Dunia TV
Kipindi cha habari motomoto, kinachowaweka watazamaji karibu zaidi na yanayojiri duniani






























































