BBC News, Swahili - Habari
Habari Kuu
Moja kwa moja, Marekani yashambulia boti saba za Iran huko Hormuz
Operesheni hiyo ni sehemu ya mpango wa Marekani unaoitwa “Project Freedom”, ambao kwa mujibu wa Rais Trump unalenga kusaidia meli zilizokwama na wafanyakazi wake baharini kuondoka salama katika Mlango bahari wa Hormuz.
Je, mpango wa "Bahari 4" wa Syria kuwa mbadala wa Hormuz?
Wakati Mashariki ya Kati inapambana na mzozo wa vita vya Iran na kufungwa kwa Mlango-Bahari wa Hormuz, mawazo tofauti yanajitokeza nchini Syria yanayoiweka nchi hiyo kama ukanda wa kati wa nishati na mtiririko wa biashara duniani.
Tunachokijua kuhusu mradi wa Trump wa "Project Freedom" katika mlango bahari wa Hormuz
Iwapo Marekani itatoa ulinzi wa kijeshi kwa meli zilizoathirika, hilo linaweza kuchochea mvutano wakijeshi na Iran.
Je, unaujua ugonjwa wa Hantavirus unaoenezwa na panya?
Kisa kimoja cha hantavirus kimethibitishwa, huku visa vingine vitano vikiendelea kufanyiwa uchunguzi, WHO imesema.
Ubingwa EPL utaamuliwa lini?
Baada ya sare yao dhidi ya Everton, kiwango cha juu kabisa cha alama ambacho Manchester City wanaweza kufikia msimu huu ni 83. Kuna mazingira ubingwa unaweza kuamuliwa mapema zaidi
BBC yafichua mbinu za matapeli wa Uganda wanaotumia mbwa kujipatia fedha kutoka kwa wapenda wanyama
Mbwa mwenye manyoya ya rangi ya kutu amelala kando ya barabara. Anaonekana mtulivu, lakini video ya TikTok inapoanza kuonyesha mwili wake wote kuanzia usoni hadi sehemu nyingine, majeraha makubwa kwenye sehemu ya miguu yake ya nyuma yanaonekana.
Je, kuna hatari ya Israel kuishambulia Uturuki?
Mvutano wa kisiasa kati ya Uturuki na Israel umeongezeka baada ya shambulio la Hamas la Oktoba 7 mwaka wa 2023, na oparesheni ya kijeshi ya Israel eneo la Gaza.
Zijue nchi 7 ndogo zaidi duniani
Hapa ni orodha ya nchi 7 ndogo duniani ambazo nchi hizi kwa moja moja unaweza kuitembelea karibu yote ndani ya siku moja ama kwa saa chache.
Simba v Yanga: Mambo 7 kutoka dabi ya 'jeshini'
Dabi ya Kariakoo kati ya Simba na Yanga nchini Tanzania imeendelea kuthibitisha ukubwa wake, safari hii ikichezwa katika mazingira ya kipekee, kwenye uwanja wa kambini, Meja Jenerali Isamuhyo, Dar es Salaam.
Je, vita vya Iran vinaipa Ukraine mkakati wa kumaliza mzozo na Urusi?
Moja ya makombora yanayotumiwa sana na Urusi kuishambulia Ukraine, ni makombora ya bei rahisi ya Iran yanayoitwa Shahed 136, na pia makombora yake ya Geran.
"Nimechagua kutokuwa na watoto"- Wanawake Nigeria wapinga nadharia kuwa lazima uwe mama
Katika jamii nyingi za Nigeria,thamani ya mwanamke bado inahusishwa na uwezo wake wa kuoleka na kuzaa, ila kwa sasa wanawake wengi nchini Nigeria wanachagua kutokuwa na watoto, si kwa sababu ya kushindwa kujifungua, bali kwa hiari yao wenyewe.
Sikiza / Tazama
Unataka kupunguza gharama za data?
Soma mtandao wetu wa maandishi kwa gharama ndogo za data.
Gumzo mitandaoni
Mwanaume aliyetangazwa kufa na kuzikwa arudi nyumbani baada ya siku moja
Mwili ulipelekwa kwenye chumba cha kuhifadhia maiti cha Hospitali ya Masindi, ambapo matangazo yalitolewa kwa watu wenye watu waliopotea ili kusaidia katika utambuzi.
Baada ya ripoti ya Jaji Chande njia tatu zitakazoamua mustakabali wa Tanzania
Tanzania ina njia tatu za kuchagua kuhusu mustakabali wake, kufuatia ripoti ya Jaji Chande. BBC imezichambua njia hizo na kile kinachofuata Tanzania baada ya ripoti hiyo ya matukio ya Oktoba 29, 2025
Glasi moja ya bia inaweza kuimarisha afya ya ubongo na kuongeza vitamini mwilini - utafiti
Kulingana na utafiti, lita moja ya bia inaweza kuwa na kati ya miligramu 0.3 hadi 1 ya vitamini B6.
Nani hufanya maamuzi nchini Iran?
Donald Trump ameutaja uongozi wa Iran kuwa "umegawanyika" na kusema Marekani inasubiri Tehran kuwasilisha "pendekezo la umoja".
Ukimya wa Al Qaeda juu ya vita vya Iran, Marekani na Israel una maana gani?
Baada ya mashambulizi ya 9/11, viongozi wengi muhimu wa Al-Qaeda na familia zao walikimbia Afghanistan na Pakistan na kwenda Iran.
Kwanini Afrika inataka ramani mpya ya dunia?
Togo inapania kuwahimiza mataifa wanachama wa Umoja wa Mataifa, kuja na ramani ambayo inaelezea ukubwa halisi wa bara Afrika na kutupilia mbali ramani ya Mercator.
Tume ya uchunguzi yasema watu 518 walifariki dunia wakati wa ghasia za uchaguzi Tanzania
Tume imesema idadi hyo inaweza kuwa kubwa zaidi kwani Tume inasema kuwa kuna uwezekano kuwa baadhi ya familia zimezika wapendwa wao bila kuwafikisha katika vituo vya kutolea huduma ya afya au hawakupata fursa ya kuja mbele ya tume.
Maswali muhimu kuhusu ripoti ya Oktoba 29 yanayohitaji majibu
Maswali kadhaa muhimu yanaendelea kujitokeza miongoni mwa wananchi na wadau nchini Tanzania yakilenga si tu kuelewa yanayozunguka kilichotokea Oktoba 29, bali pia kilichoripotiwa na tume na mustakabali wa kesho
Mambo matano makubwa katika ripoti ya matukio ya Oktoba 29 Tanzania
Ni ripoti iliyokusanywa kwa miezi kadhaa chini ya Mwenyekiti Jaji Mohamed Chande, ambayo imewahoji maelfu ya watanzania, imetumia picha na video za wakati wa Oktoba 9 na siku zilizofua.
Ripoti ya matukio ya Oktoba 29: Tanzania imefikaje hapa?
Katika kipindi cha siku 153 za uchunguzi, Tume ya Uchunguzi wa Matukio ya Oktoba 29, 2025 imetembelea mikoa 11 na wilaya 21, ikikusanya ushahidi kutoka kwa Watanzania 63,603 kupitia njia mbalimbali, huku swali kuu likibaki iwapo ushahidi huo utaweza kuunganisha taifa au kufungua mjadala mpya wa kisiasa?
Iran haina namna zaidi ya kurejea katika meza ya mazungumzo
Naibu rais wa Marekani JD Vance anayetarajiwa kuongoza mazungumzo hayo nchini Pakistan, bado hajaondoka nchini Marekani na safari yake imehairishwa.
BBC News Swahili sasa ipo WhatsApp
Vipindi vya Redio
Listen Next, Dira Ya Dunia, 18:29, 5 Mei 2026, Muda 1,00,00
Kipindi cha habari, makala na mahojiano cha kila siku kuanzia saa kumi na mbili unusu jioni Afrika Mashariki
Sikiliza, Amka Na BBC, 06:59, 5 Mei 2026, Muda 29,30
Kipindi cha habari, mahojiano na makala kila siku saa kumi na mbili na saa moja asubuhi Afrika Mashariki
Sikiliza, Amka Na BBC, 05:59, 5 Mei 2026, Muda 29,30
Kipindi cha habari, mahojiano na makala kila siku saa kumi na mbili na saa moja asubuhi Afrika Mashariki
Sikiliza, Dira Ya Dunia, 18:29, 4 Mei 2026, Muda 1,00,00
Kipindi cha habari, makala na mahojiano cha kila siku kuanzia saa kumi na mbili unusu jioni Afrika Mashariki
Dira ya Dunia TV
Kipindi cha habari motomoto, kinachowaweka watazamaji karibu zaidi na yanayojiri duniani






























































