BBC News, Swahili - Habari
Habari Kuu
Moja kwa moja, Watu 7 hawajulikani walipo baada ya jengo kuporomoka Eastleigh, Kenya
Waziri wa Mambo ya Ndani, Kipchumba Murkomen, amezitaka familia ambazo ndugu au jamaa zao hawajulikani walipo kufuatia kuporomoka kwa jengo hilo kutoa taarifa kwa Shirika la Msalaba Mwekundu la Kenya kupitia nambari ya dharura ya 1199.
Benjamin Netanyahu: Je, Israel iko tayari kumpa muhula mwingine madarakani?
Tunamuangazia Waziri Mkuu wa Israel aliyedumu madarakani kwa muda mrefu zaidi, Benjamin Netanyahu, ambaye anatarajia kuwania muhula mwingine wa uongozi katika uchaguzi wa bunge utakaofanyika tarehe 27 Oktoba.
Kenya yathibitisha kifo cha pili kutokana na Ebola
Vifo viwili vimeripotiwa kati ya wagonjwa tisa waliothibitishwa kuwa na Ebola nchini Kenya, huku wagonjwa wengine saba wakiendelea kupokea matibabu katika vituo viwili vya kutenga wagonjwa.
Kwa nini wazee nchini China 'hukodi watoto' ili kupata faraja?
Yang, mwenye umri wa miaka 91, anaishi katika vitongoji vya Beijing, mji mkuu wa China. Baada ya kifo cha mumewe, alihisi upweke mkubwa kiasi cha kufikiria hata kujiua.
TEC yaagiza misa maalumu kuwaombea waathiriwa wa uchaguzi Tanzania
“Tunaaomba Misa Takatifu ziadhimishwe kwa nia hizo; waliouawa, kupotea na kulilombea Taifa letu”, laagiza Baraza la Maaskofu Katoliki Tanzania.
Trump: Marekani yafikiria kuchukua hatua za kijeshi dhidi ya Iran
Kwa mujibu wa tathmini ya mashirika ya ujasusi ya Marekani, Iran imeongeza kwa kiasi kikubwa juhudi za kuwalenga wanadiplomasia na maafisa wengine wa Marekani katika Mashariki ya Kati na maeneo mengine duniani.
Tetesi za soka Jumamosi: Aston Villa yafikiria kujiondoa kumsajili Garnacho
Aston Villa inatilia shaka uwezekano wa kumsajili Alejandro Garnacho moja kwa moja, Brighton haitaki kumuuza Diego Gomez licha ya kuvutiwa na Atletico Madrid na AC Milan, huku wanaowania ukocha wa Manchester United wakiwa na wasiwasi kuhusu nidhamu ya wachezaji.
Watu saba wauawa katika shambulio la risasi kanisani nchini Jordan
Mfalme Abdullah II wa Jordan amesema mamlaka zitakabiliana na shambulio hilo, alilolitaja kuwa la kigaidi, kwa kutumia adhabu kali zaidi.
Mwanamke aokolewa, huku kukiwa na hofu ya wengine kunaswa kwenye vifusi
Kamanda wa Polisi wa Nairobi, Issa Mahamud, amesema mwanamke huyo alipata majeraha na anapatiwa matibabu katika hospitali iliyo karibu.
Jengo laporomoka Eastleigh, Nairobi, shughuli za uokoaji zaendelea
Mashuhuda waliokuwepo eneo la tukio wamesema kulikuwa na vurugu na uporaji ulianza, huku watu waliokuwa wakiiba wakizirusha ambulansi mawe.
Kwa nini dawa za kupunguza uzito zinaathiri biashara ya urembo?
Mkurugenzi Mtendaji wa kampuni hiyo kubwa ya urembo anasema matumizi ya dawa za GLP-1 ni “jambo muhimu sana kwetu”.
Maziwa mabichi yana faida gani kiafya na ni salama kuyanywa?
Aina nyingi za maziwa zinazouzwa sokoni hupitia mchakato ambapo maziwa huwekwa kwenye joto maalumu ili kuua bakteria hatari na kuongeza muda wa kuhifadhiwa bila kuharibika.
Unataka kupunguza gharama za data?
Soma mtandao wetu wa maandishi kwa gharama ndogo za data.
Gumzo mitandaoni
Ndani ya mtandao wa siri wa hujuma dhidi ya Putin nchini Urusi
Wanaume wawili wa Urusi wameeleza kazi wanayodai kuifanya kwa siri kusaidia Shirika la Ujasusi wa Kijeshi la Ukraine (GUR) katika vita dhidi ya Urusi. Wanasema wamekuwa wakikusanya taarifa za kijasusi, kufuatilia malengo ya kijeshi na kusaidia operesheni zinazolenga miundombinu na maafisa wa kijeshi wa Urusi.
Nani anayeongoza Kanisa Katoliki wakati Papa anapougua?
Wataalamu wanaeleza kuwa sheria za kanisa (canon law), ambazo zinafafanua kwa kina taratibu za kumrithi Papa anapofariki au kujiuzulu, hazitoi mwongozo wa kutosha katika hali ambapo Papa bado yuko hai lakini hawezi kutekeleza majukumu yake kikamilifu.
Mashambulizi ya Houthi dhidi ya Saudi Arabia yataathiri ibada ya Umrah?
Katika siku za hivi karibuni, wanamgambo hao wameshambulia viwanja muhimu vya ndege nchini Saudi Arabia, ikiwemo Uwanja wa Ndege wa Kimataifa wa Riyadh.
Jinsi kifo cha Raila Odinga kilivyovuruga mahesabu ya Ruto
Kadiri ramani ya kisiasa inavyoendelea kubadilika, ndivyo inavyodhihirika kuwa kutokuwepo kwa mwanasiasa huyo mkongwe kumeleta fursa na changamoto kwa wakati mmoja.
Titanic: Simulizi ya mwanaume wa pekee mwenye asili ya Kiafrika katika meli hiyo
Mnamo tarehe 10 Aprili 1912, meli iliyokuwa na teknolojia ya hali ya juu zaidi kuwahi kujengwa wakati huo ilianza safari yake ya kwanza kabisa ikitokea Southampton.
Joseph Kabila: Kutoka urais hadi kuongoza muungano unaojumuisha M23
Kwa zaidi ya miongo miwili, Joseph Kabila Kabange amekuwa mmoja wa watu wenye ushawishi mkubwa katika siasa za DRC.
Thomas Sankara: Mauaji yaliyobadili Afrika na urithi uliodumu kwa vizazi
Kwa wengi, Sankara hakuuawa tu kama rais wa Burkina Faso. Aliwakilisha maono ya Afrika inayojitegemea, inayojiamini na inayotafuta mustakabali wake kwa misingi ya maslahi ya wananchi wake.
Kwa nini Marekani inafikiria kutumia 'Mama wa Mabomu Yote' dhidi ya Iran?
Mtandao wa CNN umenukuu vyanzo vyenye taarifa kuhusu mipango hiyo vikisema kuwa jeshi la Marekani linafikiria uwezekano wa kutumia bomu la GBU-43/B, linalojulikana kama “Mama wa Mabomu Yote”, kushambulia miundombinu ya nishati na maeneo ya nyuklia ya Iran.
Mwaka mmoja baada ya Raila: Nini kimebadilika?
Kifo cha aliyekuwa Waziri Mkuu wa Kenya Raila Odinga kimeacha alama kubwa katika siasa za Kenya, huku mjadala ukiendelea kuhusu urithi wake na mwelekeo wa kisiasa alioujenga kwa zaidi ya miongo minne.
BBC Africa Eye: Ni nani aliwapiga risasi waombolezaji wa Raila Odinga?
Uchambuzi wa BBC Africa Eye wa video na picha 1,500 umeonyesha kuwa waliouawa katika hafla ya kumuaga Raila Odinga hawakuwa karibu na eneo la vurugu.
Mataifa saba yanayolipa mshahara mkubwa zaidi Afrika
Katika ukanda wa Afrika Mashariki, Kenya iliwapiku majirani zake Tanzania, Uganda na Rwanda, lakini ikabaki nyuma ya Djibouti, ambayo ndiyo iliyoongoza sio Afrika Mashariki pekee bali pia bara zima kwa wastani wa dola 2,836 kwa mwezi.
'Mwaka mmoja bila Polepole umekuwa mgumu sana'- Familia
Kaka yake, Godfrey Polepole, ameiambia BBC kuwa familia imekuwa ikipitia kipindi kigumu tangu kutoweka kwa ndugu yao, huku juhudi za kumtafuta zikigonga mwamba.
BBC News Swahili sasa ipo WhatsApp
Vipindi vya Redio
Listen Next, Amka Na BBC, 05:59, 26 Oktoba 2026, Muda 29,30
Kipindi cha habari, mahojiano na makala kila siku saa kumi na mbili na saa moja asubuhi Afrika Mashariki
Sikiliza, Dira Ya Dunia, 18:29, 23 Oktoba 2026, Muda 1,00,00
Kipindi cha habari, makala na mahojiano cha kila siku kuanzia saa kumi na mbili unusu jioni Afrika Mashariki
Sikiliza, Amka Na BBC, 06:59, 23 Oktoba 2026, Muda 29,30
Kipindi cha habari, mahojiano na makala kila siku saa kumi na mbili na saa moja asubuhi Afrika Mashariki
Sikiliza, Amka Na BBC, 05:59, 23 Oktoba 2026, Muda 29,30
Kipindi cha habari, mahojiano na makala kila siku saa kumi na mbili na saa moja asubuhi Afrika Mashariki
Dira ya Dunia TV
Kipindi cha habari motomoto, kinachowaweka watazamaji karibu zaidi na yanayojiri duniani























































