BBC News, Swahili - Habari
Habari Kuu
Moja kwa moja, Marekani yapunguza vikwazo vya mafuta huku Iran Ikikanusha madai ya Vance kuhusu wakaguzi wa nyuklia
Iran imekanusha madai ya Makamu wa Rais wa Marekani, JD Vance, kwamba itaruhusu wakaguzi wa nyuklia kurejea nchini humo, baada ya duru ya kwanza ya mazungumzo.
Mapumziko ya kunywa maji Kombe la Dunia: Nani wanaonufaika na nani wanaopoteza?
Mapumziko ya lazima ya kunywa maji yamekuwa sehemu ya kawaida ya mechi za Kombe la Dunia, lakini nani wanaonufaika na nani wanaopoteza kutokana na utaratibu huo?
'Israeli iliokolewa na silaha za Marekani'
Baadhi ya mawaziri wa serikali ya Israel walikosoa mkataba wa maelewano kati ya Marekani na Iran wakisema, "Hatufungwi na makubaliano ya Trump, ambayo hayatuhakikishii usalama wa taifa letu."
Kombe la Dunia 2026: Mbio za taji la mfungaji bora duniani - nani ataibuka kidedea?
Lionel Messi anaongoza kwa mabao matano katika michezo miwili. Kylian Mbappe na Erling Haaland wanashika nafasi ya pili kwenye msimamo wakiwa na mabao manne kila mmoja.
Wanawake wanaonufaika na utalii kupitia urithi wa utamaduni wao Zanzibar
Kwa wanawake wengi katika jamii za pwani ya Tanzania, talaka inaweza kuwa mwanzo wa changamoto mpya za kijamii na kiuchumi.
Syria inaweza kuchukua nafasi ya Israel kukabiliana na Hezbollah?
Rais wa Marekani Donald Trump kwa mara nyingine amezungumzia uwezekano wa Syria kuwa na jukumu la kukabiliana na Hezbollah nchini Lebanon, na kutangaza kuwa amezungumza na Rais wa Syria Ahmed al-Sharaa kuhusu hili na yuko mbioni kukabidhi faili la Hezbollah kwa Syria.
Makubaliano ya Marekani na Iran yaibua maswali iwapo kulikuwa na haja yoyote ya vita
Ingawa gharama za kibinadamu za vita hivyo ziko wazi, utawala wa Iran haujapata tu kunusurika, bali pia umeimarika na kupata nguvu zaidi kutokana na matokeo ya vita hivyo.
Waziri Mkuu wa Uingereza Sir Keir Starmer ajiuzulu
Keir Starmer ametangaza kujiuzulu kama waziri mkuu na kiongozi wa chama cha Labour
Tetesi za soka Ulaya Jumanne: Morgan Rogers kujiunga na Arsenal
Morgan Rogers ataka kuhamia Arsenal, Marcus Rashford ajiandaa kukatwa mshahara ili kujiunga na Tottenham na Spurs pia wana uhakika wa kumsajili Sandro Tonali wa Newcastle.
Kwa nini Uingereza inabadilisha mawaziri wakuu kila mara?
"Mojawapo ya mambo ambayo hatujaona sana kwa mawaziri wakuu wa hivi karibuni ni uwezo wa kukabiliana na wabunge wao wa nyuma ya viti vya mbele, kukabiliana na maoni ya umma na kuwaambia wananchi mambo magumu ambayo wanahitaji kuyasikia," anasema Theo Bertram wa taasisi ya Social Market Foundation.
Keir Starmer ni nani? Safari ya Waziri Mkuu wa Uingereza aliyejiuzulu
Keir Rodney Starmer atakuwa Waziri Mkuu mpya wa Uingereza baada ya kukiongoza chama cha Labour katika ushindi wa kishindo katika uchaguzi mkuu uliofanyika Julai 4 mwaka huu.
Je, uhusiano wa Marekani na Israel unaelekea ukingoni? - Telegraph
Hatua ya Marekani kutia saini makubaliano ya amani na Iran bila kuishirikisha Israel ilionyesha kutokujali usalama wa mshirika wake.
Kombe la Dunia 2026 - Mechi na Matokeo
Pata matokeo, ratiba za mechi, magoli na wafungaji mubashara wa Kombe la Dunia 2026 sehemu moja.
Unataka kupunguza gharama za data?
Soma mtandao wetu wa maandishi kwa gharama ndogo za data.
Gumzo mitandaoni
Kwa nini uume ni kipimo muhimu cha afya ya mwanaume
Kwa mujibu wa utafiti uliofanywa hivi punde, wanaume wenye tatizo la kushindwa kusimamisha uume walibainika kuwa na uwezekano mkubwa kwa asilimia 59 wa kupata ugonjwa wa mishipa ya moyo na uwezekano mkubwa kwa asilimia 34 wa kupata kiharusi.
Mambo muhimu 14 waliyokubaliana Iran na Marekani
Makubaliano ya Marekani na Iran ya kuongeza muda wa usitishaji mapigano kati ya nchi hizo mbili yamesainiwa na sasa yameanza kutekelezwa, afisa mmoja kutoka ikulu ta White House ameiambia BBC.
Je, wanadamu wanaweza kupata watoto katika anga za juu?
Jumuiya ya watafiti wa anga za juu imetoa ahadi kubwa kuhusu mustakabali wa maisha ya binadamu nje ya Dunia.
Kwanini Kim Jong-un huwa hamzungumzii mama yake?
Ko alifariki kabla ya Kim Jong-il, ila kifo chake katika hospitali moja mjini Paris hakikutajwa na vyombo vya habari vya Korea kaskazini.
CCM kuna Yuda au ni homa ya urais 2030?
Mitandao ya kijamii nchini Tanzania imelipuka kwa mjadala kuhusu jina moja tu - "Yuda". Limeibuliwa na mwanasiasa Simai Mohammed Said. Yuda ni nani? Kwanini Simai ameamua kuzungumza sasa? Na kwa nini achague Bunge, badala ya vikao vya chama, kuwasilisha ujumbe huo?
Kuanzia Makonda hadi Mafwele, hawa ni 'vigogo' 5 Afrika Mashariki waliopigwa marufuku kuingia Marekani
Nchi za Afrika Mashariki, zimekumbwa na vikwazo vya watu wake kuzuiwa kuingia Marekani huku majina makubwa ya kisiasa na kiusalama, kutoka Tanzania, Kenya, hadi Rwanda na Uganda yakiguswa.
Hali ya maisha katika nchi tano salama zaidi duniani 2026
Viwango vya jumla vya amani vilizorota katika nchi 99, ikiashiria mwaka wa kumi na mbili mfululizo wa kushuka kwa hali ya usalama ulimwenguni.
Hifadhi za urani iliyorutubishwa za Iran ziko wapi?
Shirika la Kimataifa la Nishati ya Atomiki (IAEA) lilisema wakati huo kwamba Iran ndiyo nchi pekee isiyo na silaha za nyuklia duniani iliyofikia kiwango hicho cha juu cha urutubishaji.
Mataifa 10 ya Afrika yaliyo na uwezo mkubwa wa kiviwanda: Morocco yaipiku Afrika Kusini
Afrika imeshuhudia mabadiliko katika ukuaji wa kiuchumi kati ya Morocco na Afrika Kusini mwaka uliopita 2025, kulingana na Kielezo cha Maendeleo ya Viwanda cha Benki ya Maendeleo ya Afrika(AfDB)
Kutoka kivuli hadi alama ya nguvu duniani, Putin alijengaje taswira yake?
Kwa miaka mingi, Vladimir Putin ameibadilisha Urusi kutoka taifa lenye demokrasia changa na dhaifu kuwa dola yenye mfumo wa kiutawala wa kimabavu ambao kwa kiasi kikubwa umejengwa kumzunguka yeye kama rais.
'Tunahofia maisha yetu': Muda wa mwisho kwa wahamiaji kuondoka Afrika Kusini wakaribia
Waandamanaji wameweka tarehe 30 Juni kuwa siku ya mwisho kwa wahamiaji wote wasio na nyaraka halali kuondoka nchini.
'Nimewapiga marufuku wanaume wengi kwenye kliniki yangu ya masaji kwa sababu ya tabia zao'
Baada ya miezi mitatu tu ya kufanya kazi kama mtaalamu wa masaji aliyehitimu, Maria aliamua kuchagua zaidi ni nani anayemtibu.
BBC News Swahili sasa ipo WhatsApp
Vipindi vya Redio
Listen Next, Dira Ya Dunia, 18:29, 23 Juni 2026, Muda 1,00,00
Kipindi cha habari, makala na mahojiano cha kila siku kuanzia saa kumi na mbili unusu jioni Afrika Mashariki
Sikiliza, Amka Na BBC, 06:59, 23 Juni 2026, Muda 29,30
Kipindi cha habari, mahojiano na makala kila siku saa kumi na mbili na saa moja asubuhi Afrika Mashariki
Sikiliza, Amka Na BBC, 05:59, 23 Juni 2026, Muda 29,30
Kipindi cha habari, mahojiano na makala kila siku saa kumi na mbili na saa moja asubuhi Afrika Mashariki
Sikiliza, Dira Ya Dunia, 18:29, 22 Juni 2026, Muda 1,00,00
Kipindi cha habari, makala na mahojiano cha kila siku kuanzia saa kumi na mbili unusu jioni Afrika Mashariki
Dira ya Dunia TV
Kipindi cha habari motomoto, kinachowaweka watazamaji karibu zaidi na yanayojiri duniani
























































