BBC News, Swahili - Habari
Habari Kuu
Harry Kane mshindi tuzo ya Ballon d'Or 2026
Kane ameongoza chati ya wafungaji wa Bundesliga kwa misimu mitatu mfululizo, na pia alikuwa mfungaji bora zaidi wa klabu barani Ulaya kwa jumla katika msimu wa 2025-26.
Heche aishinikiza Kenya kumtafuta mwanharakati wa Tanzania Twaha Mwaipaya
John Heche amesema haamini serikali ya Kenya ilihusika na kutoweka kwa Twaha Mwaipaya, lakini amehoji jinsi mtu anavyoweza kutekwa katika nchi nyingine bila msaada wa wenye mamlaka.
Gadi Eisenkot: Mfahamu jenerali mstaafu anayemkosesha usingizi Netanyahu
Kura za maoni zinaonyesha kuwa muungano wa chama chake cha Likud pamoja na vyama vya mrengo mkali wa kulia na vya Kiyahudi wenye msimamo mkali wa kidini unaweza kushindwa kupata wingi wa viti bungeni.
Kutoka Tundu Lissu hadi Gandhi: Je, migomo ya kula huwa na matokeo?
Ikiwa mafanikio yanamaanisha kuilazimisha serikali kutekeleza matakwa ya waandamanaji mara moja, historia inaonyesha matokeo mchanganyiko.
Kisiwa ambacho kuku ndio 'mabosi': Jinsi kuku wa mwitu walivyotawala Hawaii
Maelfu ya kuku huzurura kwa uhuru katika fukwe zenye mchanga mweupe, nje ya milango ya benki na kwenye maegesho yenye shughuli nyingi. Hakuna anayewamiliki, hakuna anayewafungia kwenye mabanda, na cha kushangaza zaidi, ni nadra kuwaona wakifanywa kitoweo.
Ballon d'Or 2026: Nani ataibuka mshindi?
Hii ni mara ya kwanza katika historia kwa sherehe hizi kubwa za utoaji wa tuzo hizo kufanyika nje ya nchi ya Ufaransa, hatua inayoongeza msisimko wa kipekee katika tasnia ya soka.
Manchester United: Je, Carrick ndiye tatizo au uongozi wa klabu?
United ilikuwa imecheza mechi nane bila ushindi, mfululizo mbaya zaidi tangu msimu wa 2015-16, huku ikipokea vipigo viwili vizito ndani ya wiki moja.
Nairobi: Maswali yaibuka kuhusu vibali vya jengo lililoporomoka Eastleigh
Gavana wa Nairobi, Johnson Sakaja, amekanusha madai kwamba serikali ya kaunti iliidhinisha ujenzi wa jengo hilo.
Je, akili mnemba inatishia ajira za wanawake?
Je, akili mnemba inaathirije fursa za wanawake katika soko la ajira? Hofu ya baadhi ya ajira kutoweka inaambatana na kuibuka kwa fursa mpya, huku elimu na ujuzi wa kidijitali vikichangia uwezo wa wanawake kunufaika na mabadiliko hayo.
Netanyahu au upinzani? Israel yaelekea uchaguzi huku ikigawanyika kisiasa
Mamia ya Wayahudi wa Kiorthodoksi wamekuwa wakijitokeza barabarani nchini Israel kupinga kile wanachokiona kama juhudi za kulazimisha vijana wao kujiunga na jeshi.
Tetesi za soka Jumatatu: Howe yuko tayari kuzungumza na Man Utd kuhusu nafasi ya ukocha
Aliyekuwa kocha wa Newcastle United, Eddie Howe, yuko tayari kufanya mazungumzo na Manchester United iwapo klabu hiyo itaachana na kocha wake Michael Carrick. Wakati huo huo, Arsenal, Liverpool na Manchester United zinafuatilia kiungo chipukizi wa Bayern Munich, Lennart Karl, huku Manchester United ikipanga kumsajili beki wa Everton, Jarrad Branthwaite.
Unataka kupunguza gharama za data?
Soma mtandao wetu wa maandishi kwa gharama ndogo za data.
Gumzo mitandaoni
Benjamin Netanyahu: Je, Israel iko tayari kumpa muhula mwingine madarakani?
Tunamuangazia Waziri Mkuu wa Israel aliyedumu madarakani kwa muda mrefu zaidi, Benjamin Netanyahu, ambaye anatarajia kuwania muhula mwingine wa uongozi katika uchaguzi wa bunge utakaofanyika tarehe 27 Oktoba.
Wakosoaji wa serikali ya Rwanda ambao vifo vyao vimezua maswali
Serikali ya Rwanda imekanusha madai ya kuhusika katika vifo vya wakosoaji wake, lakini baadhi ya matukio hayo yameendelea kufuatiliwa na mashirika ya haki za binadamu kutokana na maswali yaliyoibuliwa kuhusu mazingira ya vifo hivyo.
BBC: Jinsi hospitali zilivyolengwa makusudi na wapiganaji wa RSF Sudan
Uchunguzi wa BBC umebaini ushahidi kwamba wapiganaji wa kikosi cha kijeshi cha Rapid Support Forces (RSF) waliharibu mfumo wa huduma za afya wa mji wa el-Fasher.
PHP ni nini, kwa nini ilisababisha taharuki ya usalama wa mtandao duniani?
Ilichukua uwezo wa akili mnemba (AI) kuyafichua mapungufu, jambo lililosababisha tahadhari ya kimataifa kuhusu usalama wa mtandao.
Ndani ya mtandao wa siri wa hujuma dhidi ya Putin nchini Urusi
Wanaume wawili wa Urusi wameeleza kazi wanayodai kuifanya kwa siri kusaidia Shirika la Ujasusi wa Kijeshi la Ukraine (GUR) katika vita dhidi ya Urusi. Wanasema wamekuwa wakikusanya taarifa za kijasusi, kufuatilia malengo ya kijeshi na kusaidia operesheni zinazolenga miundombinu na maafisa wa kijeshi wa Urusi.
Nani anayeongoza Kanisa Katoliki wakati Papa anapougua?
Wataalamu wanaeleza kuwa sheria za kanisa (canon law), ambazo zinafafanua kwa kina taratibu za kumrithi Papa anapofariki au kujiuzulu, hazitoi mwongozo wa kutosha katika hali ambapo Papa bado yuko hai lakini hawezi kutekeleza majukumu yake kikamilifu.
Mashambulizi ya Houthi dhidi ya Saudi Arabia yataathiri ibada ya Umrah?
Katika siku za hivi karibuni, wanamgambo hao wameshambulia viwanja muhimu vya ndege nchini Saudi Arabia, ikiwemo Uwanja wa Ndege wa Kimataifa wa Riyadh.
Jinsi kifo cha Raila Odinga kilivyovuruga mahesabu ya Ruto
Kadiri ramani ya kisiasa inavyoendelea kubadilika, ndivyo inavyodhihirika kuwa kutokuwepo kwa mwanasiasa huyo mkongwe kumeleta fursa na changamoto kwa wakati mmoja.
Titanic: Simulizi ya mwanaume wa pekee mwenye asili ya Kiafrika katika meli hiyo
Mnamo tarehe 10 Aprili 1912, meli iliyokuwa na teknolojia ya hali ya juu zaidi kuwahi kujengwa wakati huo ilianza safari yake ya kwanza kabisa ikitokea Southampton.
Joseph Kabila: Kutoka urais hadi kuongoza muungano unaojumuisha M23
Kwa zaidi ya miongo miwili, Joseph Kabila Kabange amekuwa mmoja wa watu wenye ushawishi mkubwa katika siasa za DRC.
Thomas Sankara: Mauaji yaliyobadili Afrika na urithi uliodumu kwa vizazi
Kwa wengi, Sankara hakuuawa tu kama rais wa Burkina Faso. Aliwakilisha maono ya Afrika inayojitegemea, inayojiamini na inayotafuta mustakabali wake kwa misingi ya maslahi ya wananchi wake.
Kwa nini Marekani inafikiria kutumia 'Mama wa Mabomu Yote' dhidi ya Iran?
Mtandao wa CNN umenukuu vyanzo vyenye taarifa kuhusu mipango hiyo vikisema kuwa jeshi la Marekani linafikiria uwezekano wa kutumia bomu la GBU-43/B, linalojulikana kama “Mama wa Mabomu Yote”, kushambulia miundombinu ya nishati na maeneo ya nyuklia ya Iran.
BBC News Swahili sasa ipo WhatsApp
Vipindi vya Redio
Listen Next, Amka Na BBC, 05:59, 27 Oktoba 2026, Muda 29,30
Kipindi cha habari, mahojiano na makala kila siku saa kumi na mbili na saa moja asubuhi Afrika Mashariki
Sikiliza, Dira Ya Dunia, 18:29, 26 Oktoba 2026, Muda 1,00,00
Kipindi cha habari, makala na mahojiano cha kila siku kuanzia saa kumi na mbili unusu jioni Afrika Mashariki
Sikiliza, Amka Na BBC, 06:59, 26 Oktoba 2026, Muda 29,30
Kipindi cha habari, mahojiano na makala kila siku saa kumi na mbili na saa moja asubuhi Afrika Mashariki
Sikiliza, Amka Na BBC, 05:59, 26 Oktoba 2026, Muda 29,30
Kipindi cha habari, mahojiano na makala kila siku saa kumi na mbili na saa moja asubuhi Afrika Mashariki
Dira ya Dunia TV
Kipindi cha habari motomoto, kinachowaweka watazamaji karibu zaidi na yanayojiri duniani























































