BBC News, Swahili - Habari
Habari Kuu
Moja kwa moja, Katuga ambana Heche kuhusu mipango ya Oktoba 29
Kesi ya uhaini inayomkabili Mwenyekiti wa Chadema, Tundu Lissu, inaendelea katika Mahakama Kuu ya Tanzania, Dar es Salaam. Masuala ya utekaji na vifo vya Mawazo, Akwilina na Mbwambo vyaibuka Mahakamani
Dangote auza hisa za kiwanda kikubwa zaidi cha mafuta Afrika
Bilionea wa Nigeria Aliko Dangote amezindua uuzaji mkubwa wa hisa kuwahi kufanyika barani Afrika, kupitia mauzo ya hisa ya IPO katika kiwanda chake cha kusafisha mafuta.
Njia 6 za kutisha ambazo wanaanga wanaweza kufia Mwezini
Ingawa zaidi ya miaka 20 ya maisha ndani ya Kituo cha Kimataifa cha Anga za Juu (ISS) imetoa maarifa muhimu kuhusu kuishi angani, Mwezi unakuja na mazingira na hatari tofauti kabisa.
Picha 10 za kuvutia zaidi za bahari mwaka 2026
Kutoka kwa mbuzi-bahari dume anayelea mtoto wake hadi viumbe adimu wa bahari kuu, tazama picha 10 zinazoonyesha uzuri na changamoto za bahari za dunia.
Rubani wa F-15 wa Marekani asimulia alivyohangaika kwa saa 50 kwenye milima ya Iran
Mmoja wa maafisa wawili wa Jeshi la Anga la Marekani ambaye ndege yao ya kivita aina ya F-15E ilidunguliwa juu ya Iran mwezi Aprili, amezungumza kwa mara ya kwanza kuhusu tukio hilo.
Ni kina gani kirefu zaidi binadamu amewahi kufika ndani ya Dunia?
Binadamu wamejaribu njia mbalimbali za kukaribia katikati ya chini ya ardhi - lakini swali unaloweza kuwa unajiuliza ni kwamba nini hasa kipo kwenye kina hicho kisichofikika?
Sababu 8 zinazowafanya vijana kubadili dini
Mapema wiki hii, kijana mmoja alionekana kwenye video akidai kuacha Uislamu na kufuata Ukristo, tukio lililoibua hasira na mjadala mkali.
Tetesi za Soka Ulaya Jumatatu: Bayern Munich wamnyatia Wirtz wa Liverpool
Florian Wirtz anafuatiliwa na Bayern Munich, mshambuliaji wa Brazil wa Bournemouth Rayan anaweza kuwa mlengwa wa Liverpool msimu ujao wa kiangazi, huku Borussia Dortmund wakiondoa uwezekano wa kumsajili Jadon Sancho.
Je, mkataba wa Makka utaivuta Uturuki katika vita vya Yemen?
Kufuatia hatua ya kusonga mbele kwa vikosi vya Wahouthi nchini Yemen na mashambulizi ya kundi hilo dhidi ya Saudi Arabia, swali limeibuka iwapo Uturukikama mmoja wa waliotia saini "Mkataba wa Makka" italazimika kuunga mkono upande wa Riyadh
Jinsi ya kujua kama mwili wako unatoa harufu inayowasumbua wengine
Watu wengi hawawezi kutambua harufu ya miili yao wenyewe, haswa wanapokuwa na harufu mbaya. Hii hapa ni jinsi ya kugundua kama watu wengine wanahisi harufu mbaya kutoka kwako.
Miaka 350 baadaye, Mbegu za Kiume bado zinawachanganya Wanasayansi
Popo wadogo wa kahawia, hujamiana wakati wa vuli, lakini hawatarutubisha mayai yao wala kushika mimba hadi kufikia majira ya kuchipua. Hii ina maana kwamba kuna kipindi cha miezi sita ambapo mbegu za kiume huhifadhiwa ndani ya mwili wa jike zikisubiri.
Unataka kupunguza gharama za data?
Soma mtandao wetu wa maandishi kwa gharama ndogo za data.
Gumzo mitandaoni
'Wizi wa nyeti': Jinsi mitandao ya kijamii ilivyochochea uvumi uliogeuka mauaji
Zaidi ya watu 80 wamepoteza maisha kutokana na mashambulizi ya umati, uchunguzi wa BBC umebaini baada ya kukusanya takwimu kutoka mataifa sita barani Afrika.
Nchimbi kufuata nyayo za Maalim Seif au kina Lowassa?
Katika historia ya siasa za Tanzania, wanasiasa waliowahi kuwa na nafasi kubwa ndani ya CCM lakini wakaondoka au kuondolewa wamewahi kuchukua njia tofauti kuhusu siasa na mustakabali wao kwenye nafasi za kisiasa. Nchimbi atachagua njia ipi?
Ndejembi kumrithi Nchimbi, ni mwanasiasa wa aina gani?
Iwapo atathibitishwa kwa mujibu wa taratibu za kikatiba, Ndejembi mwenye umri wa miaka 43 atachukua nafasi iliyoachwa na Nchimbi, ambaye alijiuzulu baada ya kuitumikia kwa takriban miezi 10.
Vigogo watano wa CCM waliioondoka katika nyadhifa zao chini ya Rais Samia
Tangu rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Samia Suluhu Hassan kuingia madarakani, kuna wanasiasa kadhaa cha Chama cha Mapinduzi (CCM), ambao wameondoka kwa hiari au kwa shinikizo katika nafasi zao.
Tundu Lissu: Kuwa na kesi ya kujibu maana yake nini?
Mahakama Kuu ya Tanzania imetoa uamuzi kuhusu Mwenyekiti wa chama kikuu cha upinzani nchini humo, Tundu Lissu, kwamba ana kesi ya kujibu katika shtaka la uhaini linalomkabili. Hatua hii ina maanisha nini?
'Ninafanya kazi ya kuwabebea wengine ujauzito'
Lorna Fidelia hufanya kazi ya kuwabebea wengine uja uzito. Amewahi kubeba mimba ya pacha watatu miaka michache iliyopita na sasa anatafuta kubeba mtoto mwingine.
Je, Iran itaishambulia Ulaya?
Iran inaweza kushambulia vituo vya kijeshi vya Marekani barani Ulaya iwapo Donald Trump ataishambulia Iran tena, gazeti la Financial Times linaripoti.
Nani anafadhili magenge ya wahuni kuchochea ghasia za kisiasa Kenya?
Polisi nchini Kenya wamewakamata watu 37 wanaoshukiwa kuhusika na ghasia za kisiasa, baada ya kukutwa na silaha mbalimbali katika kaunti za Kisumu na Homa Bay. Ni nani yuko nyuma ya makundi haya ya vijana?
Kwa nini kujicheka si jambo zuri kila wakati?
Historia ya ucheshi wa kujidhalilisha imejaa mikanganyiko. Sasa, watafiti wanaanza hatimaye kuelewa kwa undani zaidi athari halisi za kujifanyia mzaha.
Je, Tanzania inaweza kufikia maridhiano ya kisiasa bila CHADEMA na Lissu?
Historia ya Tanzania inaonesha baadhi ya hatua kubwa za maridhiano ya kisiasa zilihitaji serikali na vyama vikuu vya upinzani kukaa meza moja.
Jinsi ubongo wa nzi unavyoweza kuelezea tabia ya binadamu
Watafiti walichora miunganisho milioni 124 kati ya seli zote za neva katika ubongo wa nzi dume.
Hatari 5 zinazoitishia dunia 2026
Licha ya Afrika kuchangia kwa kiwango kidogo katika mabadiliko ya tabianchi, bado ni miongoni mwa maeneo ambayo hayajajitayarisha vya kutosha kukabiliana na madhara yake ya moja kwa moja.
BBC News Swahili sasa ipo WhatsApp
Vipindi vya Redio
Listen Next, Amka Na BBC, 05:59, 15 Septemba 2026, Muda 29,30
Kipindi cha habari, mahojiano na makala kila siku saa kumi na mbili na saa moja asubuhi Afrika Mashariki
Sikiliza, Dira Ya Dunia, 18:29, 14 Septemba 2026, Muda 1,00,00
Kipindi cha habari, makala na mahojiano cha kila siku kuanzia saa kumi na mbili unusu jioni Afrika Mashariki
Sikiliza, Amka Na BBC, 06:59, 14 Septemba 2026, Muda 29,30
Kipindi cha habari, mahojiano na makala kila siku saa kumi na mbili na saa moja asubuhi Afrika Mashariki
Sikiliza, Amka Na BBC, 05:59, 14 Septemba 2026, Muda 29,30
Kipindi cha habari, mahojiano na makala kila siku saa kumi na mbili na saa moja asubuhi Afrika Mashariki
Dira ya Dunia TV
Kipindi cha habari motomoto, kinachowaweka watazamaji karibu zaidi na yanayojiri duniani























































