BBC News, Swahili - Habari
Habari Kuu
Moja kwa moja, Kenya yatoa msamaha wa muda kwa raia wa Afrika Mashariki wasio na nyaraka
Serikali ya Kenya imewataka raia wa Afrika Mashariki wasio na nyaraka halali, hususan Warundi, kujisajili rasmi katika balozi zao.
Moja kwa moja, Kesi ya Lissu yaendelea mahakamani
Kesi ya uhaini inayomkabili Mwenyekiti wa Chadema, Tundu Lissu, inaendelea katika Mahakama Kuu ya Tanzania, Dar es Salaam.
Kwa nini nchi za Ulaya zinahamisha dhahabu yao kutoka Amerika Kaskazini?
Takribani tani 86 kati ya karibu tani 313 za dhahabu zilizokuwa zimehifadhiwa nchini Marekani na Canada zilihamishwa kwenda London, "kutokana na kuongezeka kwa hali ya kutokuwa na utulivu wa kisiasa duniani".
Jinsi ubongo wa nzi unavyoweza kuelezea tabia ya binadamu
Watafiti walichora miunganisho milioni 124 kati ya seli zote za neva katika ubongo wa nzi dume.
Mashindano ya 'uzembe' yanavyoenea duniani
Mashindano hayo yalianzishwa Seoul mwaka 2014 na msanii wa maonyesho anayejulikana kwa jina la Woopsyang, baada ya yeye mwenyewe kukumbwa na uchovu mkubwa wa akili na mwili.
'Ninafanya kazi ya kuwabebea wengine ujauzito'
Lorna Fidelia hufanya kazi ya kuwabebea wengine uja uzito. Amewahi kubeba mimba ya pacha watatu miaka michache iliyopita na sasa anatafuta kubeba mtoto mwingine.
Tetesi za Soka Ulaya Jumanne: Chiesa huenda akaondoka Liverpool
Mustakabali wa Federico Chiesa Liverpool hauna uhakika, Jadon Sancho huenda kurejea Ligi Kuu na Endrick aivutia Italia.
Uvumbuzi mahiri ambao unakaribia kubadilisha kabisa ulimwengu wetu
Jinsi uvumbuzi wa kiubunifu unavyokaribia kubadilisha ulimwengu wetu milele.
Hafidh Ameir ni nani? Mume wa Rais Samia aliyekuwa nyuma ya pazia
Miongoni mwa watoto wao ni Wanu Hafidh Ameir, mwanasiasa ambaye ni Mbunge wa Jimbo la Makunduchi na Naibu Waziri wa Elimu, Sayansi na Teknolojia.
'Tunafikiri bunduki ndiyo inaweza kulinda amani' – Warioba
Warioba ameyasema hayo katika mkutano wa siku mbili ulioandaliwa na Kituo cha Demokrasia Tanzania (TCD), unaojadili hali ya kisiasa nchini Tanzania baada ya matukio ya Oktoba 29 yaliyosababisha vifo vya watu 518.
Viumbe 10 hatari zaidi duniani
Ingawa viumbe wengi wanajulikana kwa kuwatisha watu, ni mmoja tu anayeshikilia nafasi ya kuwa hatari zaidi. Hasa zaidi, kiumbe huyu ndiye anayesababisha vifo vya watu wengi zaidi.
Kwanini Umoja wa Mataifa ulibadilisha ramani ya dunia?
Umoja wa Mataifa hivi karibuni ulitoa wito wa kubadilishwa kwa ramani ya dunia inayotumika kwa sasa.
Unataka kupunguza gharama za data?
Soma mtandao wetu wa maandishi kwa gharama ndogo za data.
Gumzo mitandaoni
'Wizi wa nyeti': Jinsi mitandao ya kijamii ilivyochochea uvumi uliogeuka mauaji
Zaidi ya watu 80 wamepoteza maisha kutokana na mashambulizi ya umati, uchunguzi wa BBC umebaini baada ya kukusanya takwimu kutoka mataifa sita barani Afrika.
WARIDI WA BBC: 'Ulishawahi kumuona bilionea Mo Dewji akifunza watu elimu ya fedha'?
Kuishi nje ya kipato ni moja kati ya makosa ambayo baadhi ya watu wanafanya kwa kujua au kwa kutojua.
Majengo 8 yenye rangi za kuvutia zaidi duniani
Matumizi ya rangi kuwasilisha hisia za furaha na uzuri yamekuwepo kwa maelfu ya miaka.
Jinsi papa wanavyojenga urafiki wa karibu baharini
"Papa mara nyingi huonekana kama viumbe wapweke, lakini utafiti mpya unaonyesha kwamba papa wana uhusiano mkubwa na maisha tata ya kijamii."
Nchimbi kufuata nyayo za Maalim Seif au kina Lowassa?
Katika historia ya siasa za Tanzania, wanasiasa waliowahi kuwa na nafasi kubwa ndani ya CCM lakini wakaondoka au kuondolewa wamewahi kuchukua njia tofauti kuhusu siasa na mustakabali wao kwenye nafasi za kisiasa. Nchimbi atachagua njia ipi?
Ndejembi kumrithi Nchimbi, ni mwanasiasa wa aina gani?
Iwapo atathibitishwa kwa mujibu wa taratibu za kikatiba, Ndejembi mwenye umri wa miaka 43 atachukua nafasi iliyoachwa na Nchimbi, ambaye alijiuzulu baada ya kuitumikia kwa takriban miezi 10.
Je, Nchimbi na Gachagua wameponzwa na misimamo yao kisiasa?
Ingawa walihudumu katika nchi mbili tofauti na chini ya mifumo tofauti ya kisiasa, hatima za Emmanuel Nchimbi wa Tanzania na Rigathi Gachagua wa Kenya zimeibua mjadala unaofanana kuhusu uhusiano kati ya marais na manaibu wao, hasa pale tofauti za kisiasa zinapoanza kujitokeza.
Vigogo watano wa CCM waliioondoka katika nyadhifa zao chini ya Rais Samia
Tangu rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Samia Suluhu Hassan kuingia madarakani, kuna wanasiasa kadhaa cha Chama cha Mapinduzi (CCM), ambao wameondoka kwa hiari au kwa shinikizo katika nafasi zao.
Tundu Lissu: Kuwa na kesi ya kujibu maana yake nini?
Mahakama Kuu ya Tanzania imetoa uamuzi kuhusu Mwenyekiti wa chama kikuu cha upinzani nchini humo, Tundu Lissu, kwamba ana kesi ya kujibu katika shtaka la uhaini linalomkabili. Hatua hii ina maanisha nini?
Je, Iran itaishambulia Ulaya?
Iran inaweza kushambulia vituo vya kijeshi vya Marekani barani Ulaya iwapo Donald Trump ataishambulia Iran tena, gazeti la Financial Times linaripoti.
Nani anafadhili magenge ya wahuni kuchochea ghasia za kisiasa Kenya?
Polisi nchini Kenya wamewakamata watu 37 wanaoshukiwa kuhusika na ghasia za kisiasa, baada ya kukutwa na silaha mbalimbali katika kaunti za Kisumu na Homa Bay. Ni nani yuko nyuma ya makundi haya ya vijana?
Je, Tanzania inaweza kufikia maridhiano ya kisiasa bila CHADEMA na Lissu?
Historia ya Tanzania inaonesha baadhi ya hatua kubwa za maridhiano ya kisiasa zilihitaji serikali na vyama vikuu vya upinzani kukaa meza moja.
BBC News Swahili sasa ipo WhatsApp
Vipindi vya Redio
Listen Next, Dira Ya Dunia, 18:29, 8 Septemba 2026, Muda 1,00,00
Kipindi cha habari, makala na mahojiano cha kila siku kuanzia saa kumi na mbili unusu jioni Afrika Mashariki
Sikiliza, Amka Na BBC, 06:59, 8 Septemba 2026, Muda 29,30
Kipindi cha habari, mahojiano na makala kila siku saa kumi na mbili na saa moja asubuhi Afrika Mashariki
Sikiliza, Amka Na BBC, 05:59, 8 Septemba 2026, Muda 29,30
Kipindi cha habari, mahojiano na makala kila siku saa kumi na mbili na saa moja asubuhi Afrika Mashariki
Sikiliza, Dira Ya Dunia, 18:29, 7 Septemba 2026, Muda 1,00,00
Kipindi cha habari, makala na mahojiano cha kila siku kuanzia saa kumi na mbili unusu jioni Afrika Mashariki
Dira ya Dunia TV
Kipindi cha habari motomoto, kinachowaweka watazamaji karibu zaidi na yanayojiri duniani























































