Hizi hapa nchi 10 zinazoongoza kwa kuagiza silaha

Maelezo ya video, Hizi hapa nchi 10 zinazoongoza kwa kuagiza silaha
Hizi hapa nchi 10 zinazoongoza kwa kuagiza silaha
Iliyochapishwa

Ingawa uagizaji wa silaha katika nchi za Afŕika umepungua kwa takriban -41%, nchi za Kusini mwa Jangwa la Sahaŕa zimeongeza uagizaji wao, hii ni kwa mujibu wa ŕipoti ya Taasisi ya Utafiti wa Amani Stockholm (SIPRI).

Laillah Mohammed ana orodha ya nchi 10 zilizo kusini mwa Jangwa la Sahara ambazo zinaagiza silaha nyingi zaidi.